send link to app

SpringDelivery


4.2 ( 1872 ratings )
Покупки
Разработчик Emmanuel Nnko
бесплатно

Hii App ni kwa ajili ya kutumika na Muuzaji na Msafirishaji kwa bidhaa zilizoagizwa kwenye mfumo wa SpringSoko. Muuzaji ataona maagizo yote yanayotakiwa kusafirishwa kwenye App hii. Ataona pia wasafirishaji wote waliopo tayari kwa usafirishaji. Pia ataweza kuwasiliana na wateja wake na wasafirishaji kupitia jukwa la gumzo lilopo. Kwa kila agizo, muuzaji atakabidhi bidhaa kwa msafirishaji kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja. Msafirishaji atapokea bidhaa za agizo husika na kuanza kupeleka kwa mteja. Kwa kupitia ramani ya Google, msafirishaji ataonekana na mteja husika jinsi anavyosafirisha bidhaa hiyo. Msafirishaji akifika kwa mteja, mteja atataja namba ya siri kuonyesha kupokea kwa bidhaa hiyo. Msafirishaji ataingiza namba hiyo ya siri kwenye App, na bidhaa itaonekena imepokelewa kwenye mfumo wa SpringSoko.